Shule ya Sekondari HIJRA Ni shule isiyo ya Serikali (Non-Government school) iliyosajiliwa tangu mwaka 1995 Kwa Namba S.538 . Shule ni ya kutwa na bweni kwa Wasichana na Wavulana kidato cha kwanza hadi cha sita.