A'LEVEL FEE
FEE : 1,800,000 Tsh.
Ada inalipwa kwa awamu nne
PAYMENT MODE
Bank CRDB
Account No 0150871967200
Account Name HIJRA ISLAMIC SEMINARY
Bank
Account No
Account Name
Ada kwa kutwa ni Tsh 800,000/= na Bweni ni Tsh 1,800,000/=
Please contact the school for more information about FEE and other payments
School Info
Shule ya Sekondari HIJRA Ni shule isiyo ya Serikali (Non-Government school)
iliyosajiliwa tangu mwaka 1995 Kwa Namba S.538 . Shule ni ya kutwa na bweni kwa Wasichana na Wavulana kidato cha kwanza hadi cha sita.