ST MONICA MOSHONO GIRLS SECONDARY SCHOOL

Wisdom Through Love
Ordinary Level Subjects

Bible Knowledge

Book Keeping

Civics

Geography

Basic Mathematics

Biology

Chemistry

Commerce

English Language

History

Kiswahili

Physics

Number of Teachers: 22
Number of Students: 371
Student-Teacher ratio: 17:1
School Info

Shule ya "ST. MONICA MOSHONO GIRLS SECONDARY SCHOOL" ni ya Kanisa Katoliki na ipo katika Jimbo kuu la Arusha, inamilikiwa na Masista wa Augustino Wamisionari. Shule ni wasichana na ya Bweni. Inachukua wasichana wa Dini na Madhehebu yote. Shule inaendeshwa kwa kufuata miongozo ya kanisa katoliki na taratibu zote za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. FOMU HII INAPATIKANA; MKOA KITUO ARUSHA - Shuleni St.Monica, Jimboni -St. Theresa (Bookshop) MOSHI -Jimboni Katoliki na Lutheran Bookshop. MWANZA -Parokiani - Mkolani, Buhongwa, Bwiru, Kiloleli na kitumba [ kisesa ] SINGIDA -Jimboni Katoliki –( Social Center) DODOMA -Jimboni-Ofisi za Parokia(Social Hall), Shuleni Huruma Girls na Singida Road Jengo la G5 Royal Plaza Frem No.31(piga simu No.0715265446) DAR ES SALAAM - Parokia ya Mavurunza, Kimara- Temboni Shule ya Secondari ya St. Augustine Tagaste, Msimbazi Center (Nomo shop No. 12 na Schools in Tanzania Namba 10, 11), Urafi Block J N0.12, Mission and private schools No.22 VITUO VYA KUFANYIA MTIHANI;  ARUSHA – Shuleni St. Monica- Tarehe 2/9/2023, 16/09/2023 na 30 Oktoba 2023.  DAR ES SALAAM – Shuleni Sekondari ya St. Augustine Tagaste Ijumaa Tarehe 15/09/2023 na Jumamosi Tarehe 16/09/2023  MWANZA - Parokiani Mkolani. Tarehe 16 Septemba 2023.  DODOMA _ Shuleni Huruma Girls Secondary School. Tarehe 16 Septemba 2023. {Katika sehemu zote, mtihani utafanyika saa tatu kamili (3:00) asubuhi}

Ads