Shule iko katika mazingira bora ya kujifunza mbali na vurugu za mji lakini ikiwa imeunganishwa vema kwa huduma zote muhimu za jamii. Masomo yanayofundishwa ni BIBLE, PHYSICS, BIOLOGY, MATHEMATICS, GEOGRAPHY, ENGLISH, ENGLISH LITERATURE, KISWAHILI, CHEMISTRY, HISTORY, BOOK-KEEPING, COMMERCE na COMPYUTA. Wastani wa ufaulu kwa mwaka ni kuanzia 50% na kuendelea juu. Hakuna upungufu wa walimu, madarasa na maabara.