Shule ya Sekondari ya Victory ni shule ya Kutwa na Bweni kwa wavulana na wasichana. Pia shule ni kituo cha watahiniwa wa kujitegemea( Private Candidates) huduma ya Bweni pia ipo. Shule ina mazingira bora, maabara za masomo yote ( physics, chemistry na Biology) na tumejikita kuinua nidhamu. Shule inafanya vizuri katika mitihani ya kitaifa