FORM ONE - ADMISSION DETAILS
Application Deadline
11-October-2024
Interview Date
12-October-2024
Interview Location
Mtihani unafanyika shuleni
Application Fees (Non-refundable) : Tshs. 20,000 /=
NOTE
Mwanafunzi ataitajika kuambatanisha picha ya rangi uliyopiga hivi karibuni wakati unajaza fomu hii
Pia tuna nafasi za kuhamia kidato cha pili , cha tatu na cha tano.
wasiliana nasi kwa simu namba 0677058291 / 0735510003