Jamhuri Secondary School

Forward Ever Backward Never
Features
O-Level
A-Level
Boarding
Day
Boys Only
Girls Only
Boys & Girls
Christian
Islamic
Government
Private
Location
Dodoma,  Dodoma Mjini
Shule ipo Dodoma mjini karibu na uwanja wa michezo wa Jamhuri (kwa upande wa magharibi)
School Info

Shule ya Sekondari Jamhuri ni shule isiyo ya Serikali (NonGovernment school) inayomilikiwa na Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) iliyosajiliwa tangu mwaka 1985 kwa Namba S.0125. Hata hivyo shule inapokea wanafunzi wa imani zote na jinsia zote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita

Ads