A'LEVEL FEE
FEE : 1,800,000 Tsh.
Ada inalipwa kwa awamu nne
PAYMENT MODE
Bank NMB
Account No 51710040049
Account Name JAMHURI SCHOOL FEES
Bank
Account No
Account Name
Ada kwa kutwa ni Tsh 800,000/= na Bweni ni Tsh 1,800,000/=
Please contact the school for more information about FEE and other payments
School Info
Shule ya Sekondari Jamhuri ni shule isiyo ya Serikali (NonGovernment school) inayomilikiwa na Baraza kuu la Waislamu wa
Tanzania (BAKWATA) iliyosajiliwa tangu mwaka 1985 kwa Namba
S.0125. Hata hivyo shule inapokea wanafunzi wa imani zote na
jinsia zote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita