library (maktaba) yetu ni kubwa yenye vitabu mbalimbali vya kujifunza na kufundishia.
vyakula vyetu ni vizuri na vyenye kujenga mwili. mbogamboga, matunda na makundi mengine ya chakula wanafunzi wanapatiwa.
wanafunzi wanapata fursa ya kushiriki michezo mbalimbali kama football, netball, volleyball, etc
lipo bus la shule kwaajili ya safari za kimasomo kwa wanafunzi
wanafunzi wanapata masomo ya ujasiriamali kama kutunza bustani mbogamboga na matunda pia ufagaji wa kuku na sungura.