Vipo vyumba vya madarasa vyakutosha kwa wanafunzi wote na madawati yakutosha. Pia Kuna vyumba maalumu kwaajili kufundishia kwakutumia projector ili kumfanya mwanafunzi kuwa na uelewa wa kutosha ktk somo husika.