Shule ya sekondari ya wasichana Bwiru ni shule ya serikali, iko katika Manispaa ya Ilemela katika kata ya Pasiansi mkoa wa Mwanza.