Please contact the school for more information about FEE and other payments
School Info
Shule ya Sekondari ya wasichana Victorian ni shule ya Bweni kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Tuna michepuo ya Sayansi, Sanaa na Biashara , shule ina miundombinu wezeshi inayomfanya mwanafunzi kusoma na kufikia malengo yake.