Wiza High School ni shule ya bweni ya mchanganyiko w wasichana na wavulana , kwa kidato cha kwanza hadi cha sita. Michepuo ya A-Level ni PCM, PCB, CBG na PGM.Shule ipo umbali wa mita 900 kando ya barabara kuu ya Tanzania kuelekea Zambia mjini Vwawa, makao makuu ya wilaya ya mbozi, mkoani Mbeya.