IMAGE VOSA SECONDARY SCHOOL

High, Higher Still Higher Academically and Displinary
Features
O-Level
A-Level
Boarding
Day
Boys Only
Girls Only
Boys & Girls
Christian
Islamic
Government
Private
Location
Iringa,  Kilolo
Shule ipo wilaya ya Kilolo, mji mdogo wa ILULA mtua. Iko umbali wa KM 1 Kutoka mamlaka ya mji mdogo wa ILULA na KM 45 kutoka Iringa mjini
Contacts
School Info

Shule ya Sekondari ya Image Vosa ni shule ya Kutwa na Bweni kwa wavulana na wasichana. Pia shule ni kituo cha watahiniwa wa kujitegemea( Private Candidates) huduma ya Bweni pia ipo. Shule ina mazingira bora, maabara za masomo yote ( physics, chemistry na Biology) na tumejikita kuinua nidhamu. Shule inafanya vizuri katika mitihani ya kitaifa

Ads