Shule ya Sekondari ya Ujenzi ni shule ya Kutwa na Bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ina mazingira bora, maabara za masomo yote ( physics, chemistry na Biology) na tumejikita kuinua nidhamu. Shule inafanya vizuri katika mitihani ya kitaifa