NOTE
Mwanafunzi awe amefaulu mtihani wake wa Taifa wa kidato cha nne kwa division 1, 2 au 3 . Awe na ufaulu usiochini ya grade "CCD" kwenye Masomo matatu ya combination anayotaka kusoma.
Tuna nafasi za kuhamia kidato cha tano, na tunapokea reseaters.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba. 0625 926 651