Shule ya Wasichana Mlimba iko mkoa wa Morogoro katika halimashauri ya wilaya Mlimba, ni shule ya Kutwa na Bweni. Ina mazingira tulivu ya kujifunzia na salama kwa mwanao.