Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Cagliero ni kituo cha ubora wa kitaaluma kilichopo katika Jimbo Katoliki la Iringa. Tumejipambanua kwa kutoa elimu bora na malezi bora kwa wasichana, tukiwa na rekodi ya mafanikio makubwa katika nyanja za taaluma na nidhamu.