NOTE
Mtihani wa kujiunga unafanyika shuleni (Nyanza Adventist).
Masomo ya Pre form one yataanza tarehe 15/09/2026 hadi tarehe 15/12/2026. Gharama za pre form one ni Tsh 300,000/= kwa Bweni na Tsh 200,000/= kwa kutwa.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0763 990 038