NOTE
Mitihani ya kujiunga (interviews) utafanyika shuleni.
Tuna nafasi za kuhamia kidato cha I, III.
Masomo ya pre-Form one yataanza 18-09-2026 hadi 05/12/2025, Gharama ya Pre form one kwa miezi mitatu ni Tsh 450,000/=.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kw a simu namba : 0754 646446, 0754 381844, 0787 381844, 0787 421 042