NOTE
Wanafunzi wanachaguliwa kulingana na ufaulu wao wa kidato cha nne, kwa masomo ya sayansi awe na ufaulu wa CCC Kwenye combination(Tahasusi) na na masomo ya sanaa awe na ufaulu wa CCD.
Tuna nafasi za kuhamia kidato cha V
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi: 0757669023.