NOTE
Mitihani ya kujiunga (interviews) inafanyika shuleni.
Tuna nafasi za kuhamia kidato cha I, III.
Masomo ya Pre form one yataanza tarehe 14/09/2026 hadi 13/12/2026. Gharama ya pre form one ni tsh 250,000/= kwa miezi mitatu
Kwa maelezo zaidi piga 0682 001 158 , 0766 490 153