NOTE
Mtihani wa kujiunga utafanyika shuleni saa 7:30 AM
Masomo ya pre form one yataanza 22/09/2026 mpaka 04/12/2026. Gharama kwa kutwa Tsh 100,000/= na Bweni Tsh 300,000/=
Nafasi kuhamia kidato cha I, III & V zipo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu 0785 848579