NOTE
Mtihani wa kujiunga utafanyika shuleni Mihayo.
Vituo vingine vya kufanyia mtihani: Dodoma- Mtemi Mazengo primary school na Dar es Salaam msimbazi centre mlango no 14
Masomo ya Pre-form one yataanza tarehe 21/09/2026 hadi 12/12/2026. Gharama ya pre-form one ni Tsh 300,000/= kwa miezi mitatu.
kwa maelezo zaidi piga: 0763 417 814, 0755 812 441 , 0754 825 218