Mitihani ya kujiunga na Shule ya Barbro Johansson itafanyika siku ya Ijumaa tarehe 02 Oktoba 2026
saa mbili asubuhi, na kila ijumaa saa mbili asubuhi. Mitihani hii itakuwa ni ya masomo ya Hisabati
na Maarifa na itakuwa katika lugha mbili, yaani Kiswahili kwa wanafunzi wanaotoka Shule za Msingi
zinazotumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia na Kiingereza kwa wanafunzi wanaotoka
Shule za Msingi zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Ili kutuwezesha kutathmini
idadi itakayotumika kwa nakala za mitihani, tafadhali chagua lugha utakayopenda kuitumia katika mitihani
na uweke alama ya √ ndani ya kisanduku:
Chagua lugha utakayoipenda kutumia katika mitihani ya kujiunga