Lilian Kibo High School

Strive for Better Life
FORM 2 NECTA
Click the Year to view Results :
  • 2025
  • 2024
  • 2023
  • 2022
  • 2021
School Info

Shule ya Sekondari ya LILIAN KIBO HIGH SCHOOL yenye usajili No. S.3585, ni shule binafsi na ni ya bweni kwa wanafunzi wa kike na wanafunzi wa kiume kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Shule ipo chini ya utawala mpya wa MASISTA WA SHIRIKA LA BIBI YETU WA KILIMANJARO (CDNK). Tunapokea wanafunzi wa dini zote bila kubagua. Shule inapatikana Goba Matosa jijini Dar es Salaam

Ads