NOTE
Wanafunzi wanachaguliwa kulingana na ufaulu wa kidato cha nne(necta result) kwa ufaulu wa daraja I--III. Na awe C tatu kwenye Tahasusi anayoomba
Tuna nafasi za kuhamia kidato cha I ,III & V.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0767686274