Kitungwa Adventist Secondary School

Ever to be the Best
O-Level NECTA
Click the Year to view Results :
  • 2019
  • 2018
  • 2017
  • 2016
  • 2015
National Position 136 / 3908
Regional Position 7 / 176
School Info

Shule iko katika mazingira bora ya kujifunza mbali na vurugu za mji lakini ikiwa imeunganishwa vema kwa huduma zote muhimu za jamii. Masomo yanayofundishwa ni BIBLE, PHYSICS, BIOLOGY, MATHEMATICS, GEOGRAPHY, ENGLISH, KISWAHILI, CHEMISTRY, HISTORY, BOOK-KEEPING, COMMERCE na COMPYUTA. Wastani wa ufaulu kwa mwaka ni kuanzia 50% na kuendelea juu. Hakuna upungufu wa walimu, madarasa na maabara.

Ads