Shule ya Sekondari Jamhuri ni shule isiyo ya Serikali (NonGovernment school) inayomilikiwa na Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) iliyosajiliwa tangu mwaka 1985 kwa Namba S.0125. Hata hivyo shule inapokea wanafunzi wa imani zote na jinsia zote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita