NOTE
Mtihani wa kujiunga unafanyika shuleni.
Ada kwa mwaka ni Tsh 2,280,000/= inalipwa kwa awamu nne, Pia tuna nafasi za kuhamia kidato cha I & III.
Masomo ya Pre - form one yataanza tarehe 19/09/2026 mpaka tarehe 20/12/2026 .
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi: 0769 605 206.