Shule iko katika mazingira bora ya kujifunza mbali na vurugu za mji lakini ikiwa imeunganishwa vema kwa huduma zote muhimu za jamii. Masomo yanayofundishwa ni : MATHEMATICS, ENGLISH, SCIENCE, SOCIAL STUDIES, CIVIC AND MORAL, KISWAHILI, VOCATIONAL SKILLS, ICT AND RELIGIOUS STUDIES . Wastani wa ufaulu kwa mwaka ni kuanzia 61% na kuendelea juu. Hakuna upungufu wa walimu, madarasa ama mabweni.