D'ALZON GIRLS SECONDARY SCHOOL

Knowledge, Creativity, Efficiency
School Gallery.
School Info

Shule ya wasichana ya D'alzon ni shule ya bweni iliyopo jimbo kuu katoliki la Arusha, ikisimamiwa na shirika la Oblate Sisters of the Assumption. Ilianzishwa mwaka 2008, shule ina michepuo ya Sayansi, Biashara na Sanaa. Pia tunafundisha lugha ya kifaransa. Shule hutoa semina mbalimbali za kiroho zenye kumuwezesha mwanafunzi kukua kiroho na kumpenda Mungu. Pia shule hutoa huduma za ushauri wa kisaikolojia ili kumfanya mwanafunzi ajiamini katika kila somo

Ads