D'ALZON GIRLS SECONDARY SCHOOL

Knowledge, Creativity, Efficiency
Features
O-Level
A-Level
Boarding
Day
Boys Only
Girls Only
Boys & Girls
Christian
Islamic
Government
Private
Location
Arusha,  Arusha Mjini
Shule ipo Chekereni Kata ya Mlangarini barabara ya Nelson Mandela(kuelekea chuo cha Nelson Mandela)
Contacts
School Info

Shule ya wasichana ya D'alzon ni shule ya bweni iliyopo jimbo kuu katoliki la Arusha, ikisimamiwa na shirika la Oblate Sisters of the Assumption. Ilianzishwa mwaka 2008, shule ina michepuo ya Sayansi, Biashara na Sanaa. Pia tunafundisha lugha ya kifaransa. Shule hutoa semina mbalimbali za kiroho zenye kumuwezesha mwanafunzi kukua kiroho na kumpenda Mungu. Pia shule hutoa huduma za ushauri wa kisaikolojia ili kumfanya mwanafunzi ajiamini katika kila somo

Ads