Barbro Johansson Secondary School

Give the girls lights
FORM ONE - ADMISSION DETAILS
Application Deadline
27-September-2018
Interview Date
28-September-2018
Interview Time
8:00 AM
Interview Location
Shuleni Barbro Johansson kila ijumaa.
Application Fees (Non-refundable) : Tshs. 25,000 /= Paid online by TigoPesa only.
NOTE
Masomo ya mtihani ni Hisabati na Maarifa na itakuwa katika lugha mbili, yaani kiswahili kwa wanafunzi wanaotoka shule za msingi zinazo tumia kiswahili kama lugha ya kufundishia . Kiingereza kwa wanafunzi wanaotoka shule za msingi zinazotumia kiingereza kama lugha ya kufundishia. usahili utafanyika tarehe zifuatazo, tarehe 14-09-2018 , tarehe 21-09-2018 na tarehe 28-09-2018.
Wanafunzi wote wavae sare za shule zao za awali siku wanayokuja kufanya mtihani Barbro Johansson, vinginevyo hawataruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. Pia waje na chakula au pesa kidogo za kununua vinywaji na vitafunwa, shule haitatoa chakula kwa watahiniwa
Shule haipokei wanafunzi ambao hawajamaliza elimu ya msingi kwa mujibu wa mtaala
Mwanafunzi ataitajika kuambatanisha picha yake (passport-size) pamoja na ripoti ya mwisho ya maendeleo ya mwanafunzi. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba: 0754 596 649
Ads